top of page

Nafasi za Masomo

St. Joseph’s Cathedral High School iliyopo Posta Dar, Inawatangazia nafasi za masomo kwa Kidato cha tano kwa Michepuo yote ya Sayansi, Biashara na Sanaa kwa Mwaka wa Masomo 2023/2024. Form za kujiunga zinaolewa Shuleni Kuanzia Novemba 01, 2022.


396 views

Recent Posts

See All

Comentários


bottom of page